Wakuu
Msaada jinsi ya kurecover passcode zangu kuna mtu kabadilisha nilizokuwa nimeweka sijajua dhumuni lake kufanya hivyo hii inakuja baada ya kuwasha simu
nitashukuru sana nikipewa ufumbuzi...
Leo nilidownload win 10 sasa on process of installation laptop ikazima, umeme ulivyorudi najaribu kuiinstall upya inanidai product key yani nimechanganyikiwa msaaada plz!!!!!
KUHUSU TROIDVPN
TroidVPN inahitaji Android minimum v4.0.4
Inafanya kazi bila ya Rooting
Kila siku utapata 1GB for free
Kupata Unlimited tumia Premium account ya TunnelGuru
UNACHOTAKIWA KUFANYA...
Khabari,Naomba mtu mwenye ujuzi na kupata activation code za ku activate window 10 anisaidie maana nimedownload nime install ila inadai ku activate window.
Habari za jioni ya leo,
Jamani wadau naomba maoni yenu kuhusiana na hii bidhaa ya king'amuzi kupitia internet (IPTv) cha Mag250. Je, kwa wale ambao mmewahi kukitumia king'amuzi hiki kupitia...
Habari za leo wadau..
Naomba kuuliza kama kuna ambaye anaweza au amewahi kuweza kupata Transponder ya Astra 2E (28.2 degrees east) kwenye dish lolote. Kama amewahi anaweza kunijulisha ni dish...
Wadau kuna virus wengi wameachiwa hivi karibuni , virus hawa uingia kupitia whatsapp, instgram, facebook, tabia zao uingia kwenye simu na kujificha kwenye application manage, utengeneza exe file...
Hi wadau,
Kuna kazi iliyoko kwenye word nilichukua kwenye pc ya mtu ila kila nikitaka kuedit au kufuta mstari inagoma na kupigia mstari kazi ninayotaka delete. lakini pia niki'paste' inatokea kazi...
Wengi tumekuwa tukipata matatizo mbalimbali katika vifaa vyetu vya mawasiliano yanayopelekea kushindwa kuweza kuvitumia. Lakini kwa msaada wa kitaalamu na ushauri kutoka kwa wadau ni rahisi...
Habari gani wadau????
msaada please, simu yangu tajwa ina tatizo, kila nikichomeka charger ambayo ni original inaonesha alama kuwa charge inaingia, lakini unaweza kuicha about the whole day...
Ndugu wana JF,
Kama ulishawahi kujaribu kujiunga na wap service ya tiGo, na badala ya kutumiwa configuration unapata ujumbe kama 'Invalid or Unknown phone model', kuna njia mbili ambazo unaweza...
wakuu,nina line ya halotel na modem ya airtel,naweza kutumia hiyo line ya halotel kwenye hiyo modem na setting zake ni zipi
naomba kuwasulisha kwa msaada
Niaje wanaJF? Natafuta web developers ambao nitafanya nao kazi ya kudevelop hii system ambayo inaonekana hapo chini. Mambo ya benefit tutaangalia wenyewe kama developer teams. Nipm kama una interest
Kichwa cha habari cha jieleza ni kwanini simu janja hazikai na charge kwa muda mrefu, Je! Kuna simu janja zinazokaa na chaji angalau siku mbili? Na je suluhisho nini.?
Power bank hizi zilitengenezwa maalumu kwa ajili ya kuendeshea mashine za kusafishia picha SELPHY cp760 baada ya umeme kukatika.
Vifaa hivi vinauzwa pale kariakoo gerezani kwa mnada vipo vingi...