Wasalaam Wakuu,
Katika simu yangu ya android kuna tatizo limenikumba leo, kuna app nimeweka lakini baadaye nikaona imesababisba kutokea mara kwa mara matangazo.
Nilipotaka kuiondoa ikagoma...
Mambo vip waungwana natumai kichwa cha habari chatosha kabisa natafuta hiyo kitu hapo juu yyte ambaye anayeweza nisaidia ani pm ili tufanyr biashara wandugu
Viwa max 5 used + flip cover, inauzwa kwa 180,000/-
ipo kwnye hali nzuri.
Ina 13mp primary camera,
5 mp secondary camera
5gb internal memory
1Gb of Ram
Ishafanyiwa root..
Atakaye ihitaji...
Katka pita pita ya mtandaoni Nimekutana ma hili Dark Web nikajaribu kuipitia nikaelewa yafuatayo;
*Kuna fanyika biashara za magendo kupitia mtandao.
*Ni ngumu kuielwa kwa mtu tu wa kawaida...
Habari za mchana huu wadau?
Kama heading inavyojieleza hapo juu. Nina Lumia 535 dual SIM ina windows 8.1 na iko vizuri sana tu. Tangu niinunue na kufanya first configuration Cortana imekuwa...
Wakuu iphone 6 plus yangu imepotea katika mazingira ya kutatanisha
Rangi ya Gold na ina crack kwenye screen
Ni ngumu kuitumia sababu ina password kabla hujaingia
Kwa vyovyote itakua...
Naomben,mnieleze jinsi ya kudownload movies kama unavyodownload na android katika kikass torrent,apps kama hii iphone unapataje wakuu,maake najiuliza ipi ninunue kati ya not5 na iphone,iphone...
Msaada ningependa kufahamu hatua za kuweza kutumia kingamuzi cha ndani ya tv(samsung UA32J4003),kuweza kuset frequency na kuaccess local na international channels
Msaada please!!
Nina HP pavilion x360 ilikuja na window 8.1.... 64byt. Nikaamua kupiga chini window ili nifanye partition maana haikua na partition.
Nikatumia window10 kutimiza hitaji langu...
Naomba kuuliza humu wataalamu kwamba nani ana sim card ya tigo 4G halafu anaipata hiyo 4G? Je unatumia simu aina gani? Na upo maeneo gani? Naomba kujua ili nielewe tatizo lipo wapi na simu yangu...
Kwa anayefaham maana halis ya VPN na matumizi yake kwenye cm naomba anijuze jaman ili kama inafaida yeyote niweze kuitumia na mm! chief mkwawa na wataalam wengine wa it tunaomba mtujuze na ni kwa...
Wakuu, nahitaji msaada kwa yeyote anayejua software inayoweza kunisaidia kubadili lugha ya kingereza kwenda kiswahili pindi mtu anaoandika au kusoma maandishi kwa kiingereza.
Nitashukru ikiwa...
Wakuu nilikuwa na maswali kadhaa ambayo naimani hapa jamvini kuna wajuzi ambao wana majibu na elimu ya kutosha juu ya maswali yangu.
Kutokana na sasa hivi dunia imekuwa ya kitechnolojia zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.