Nina Samsung Galaxy S2 ambayo kuna wakati nikipiga simu au kupokea simu
nakuwa sisikii chochote na wala niliyempigia au kunipigia hasikii chochote toka kwangu.
Tatizo hili huchukua baadhi ya...
Jana nimebadilisha startimes na kununua zuku ambao wamenipa offer ya mwezi mmoja ya kifurushi cha classic package ila mimi nataka nijiunge/ninunue kifurushi cha premium, naomba mwenye ujuzi...
habari wanajf. Naomba kujuzwa kama kuna mtu aliyewahi kutumia iyo app ya tz,je inafanya kazi kweli au ni matapeli kama softbox tanzania
inapatikana kwenye link hii apa...
Wadau huduma ya T.Z.S 1,500 Na Kupata 15GB imerudi kama kawaida huduma hii inatumika kuanzia saa 5 Usiku hadi saa 11 Alfajiri ni bila kikomo cha speed enjoy Guys.
Naomba msaada wa kupost matokeo ya Wanafunzi kama inavyoonekana hapo chini katika jedwali, stream ,sid ,student name nimevyitoa katika registration table. ambapo natakiwa niwajazie matokeo kisha...
Wakuu habari za j2,
Nahitaji kuwa na uwezo Wa kuona chanel tofauti tofauti kwa TV ya chumba kimoja na chumba kingine.
Yaani, kinga'amuzi kiwe kimoja, lakini kiunganishwe na TV 2 za vyumba...
Habar ya muda huu wnajamviin wenzang kama apoo juu kichwa cha habar kinavyojileza nilihtaji kujua ni jins gan unaweza ku hack passoword ya wifi iliyo secured:spy: . ahsanteen nawasilisha
samahani wakuu wa hili jukwaa. nashindwa kudownload nyimbo na videos kwenye whatsapp. kila ikianza kudownload inazungusha kile kimduara mpaka mwisho halafu hamna chochote imedownload. tipeane...
Nina simu yangu tecno boom J5 tangu nmenunua mpaka sasa sjawahi kuona mtandao wa internet ukisoma H+
Unaishia 3G tu sasa sjui tatzo nini
Nmeshawahi kuuliza kwa watu wanaotumi aina hi ya simu...
Gari aina ya allion juzi ilikuwa poa ila jana nimelipeleka car wash wakaliosha hadi engine na nikalifanyia service ambapo walibadili engine oil, oil filter na air filter.
Kisha nikaenda kituo cha...
Kama upo tayari kufanya kazi ya kushare links zangu za blog kwenye groups za facebook nicheki....
Ac za facebook na magroup vyote nakupa ni wewe tu kupiga kazi na pageviews 1000 nakupa...
Wadau,
External yangu ya Toshiba (500GB) ilikuwa inafunction vizuri tu kama kawaida, leo baada ya kuichomoa na kuiweka kwenye Port ikawa haisomi hadi saivi, nimegoogle nikaambulia ujumbe wa ku...
Bila shaka wengi wenu ni wataala wa IT humu ndani
Mimi napenda kuomba msaada kwa anaejua best website inayotoa templates nzuri kwa ajili ya blogs.
Aidha iwe free au ya kununua,ila ya bei nafuu...