Samsung Galaxy S2 na tatizo la Mic na Speaker

Samsung Galaxy S2 na tatizo la Mic na Speaker

poposindege

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
456
Reaction score
175
Nina Samsung Galaxy S2 ambayo kuna wakati nikipiga simu au kupokea simu
nakuwa sisikii chochote na wala niliyempigia au kunipigia hasikii chochote toka kwangu.
Tatizo hili huchukua baadhi ya nyakati. Kuna wakati inakuwa sawa tunasikilizana vizuri na kuna wakati mambo
huwa hovyo kabisa.
Kwa anayejua namna ya kusolve tatizo naomba msaada.
Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom