Samsung tv haitoi picha

bface

Senior Member
Dec 22, 2010
128
19
Msaada nifanyeje my samsung tv inch 46 led haioneshi picha ila sauti inasikika, tatizo laweza kuwa nn? Ni display au nikununua kioo kipya
 
Msaada nifanyeje my samsung tv inch 46 led haioneshi picha ila sauti inasikika, tatizo laweza kuwa nn? Ni display au nikununua kioo kipya

Kioo kinaonesha mwanga?
Ukitumia remote ku operate menu inaonekana kwenye kioo?
 
Hapana no mwanga wowote ni nyeusi tu ila sauti ndo inasikika
 
Back
Top Bottom