Msaada:Photoshop App for Android

Msaada:Photoshop App for Android

fagix

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
741
Reaction score
563
Hodi tena jukwaani
Kwanza nishukuru jukwaa kwa kunipa mshauri wa kutosha kuhusu programming language gani nianze nayo kujifunza.

Hii leo naomba kuuliza je kuna applications yoyote ya Photoshop inayoweza kuwa install kwenye simu ya Android

Je naweza kuipata play store.
Wakuu naomba msaada wenu

Asante nyote
 
Hii leo naomba kuuliza je kuna applications yoyote ya Photoshop inayoweza kuwa install kwenye simu ya Android
fagix Lt Miraji Ndio zipo

Tumia hizi keywords katika search engine.
  • Adobe Photoshop Mix apk
  • Adobe Photoshop Express Premium apk
  • Adobe Photoshop Touch apk
 
Last edited by a moderator:
ilikuwepo ila adobe wamei discontinue. now wanatengeneza nyengine.

una expect hio app ifanye nini na nini?
 
Back
Top Bottom