Wana Electronics

Technian Tanga

JF-Expert Member
May 27, 2015
411
200
Habari wadau, Mimi nimezoea Quartz Crystal oscillator kama Radio Frequency Generation natumia method hii kuzalisha frequency Naweka Coil na Antenna pia either mike au Male jack port kwa ajili ya input signal , strength za hii method variation ya Frequency sio kubwa kutokana na mabadiliko ya baadhi ya vitu kama power au joto Hii transmitter inarusha mawimbi katika Frequency modulation mara chache nakamata baadhi ya frequency za Vituo vyetu kwa vile niko mikoani ni ngumu kwa owners kunotice kuwa naingilia frequency zao lakini mawimbi ninayorusha ni kama ya kilometa 2 tu, naomba kwa wajuzi au wenye interest na inshu za Wireless communication tushare uzoefu nataka kutengeneza transmitter kwa kutumia Transistor,Capacitors,na Resistor hii , Transistor na caps kwa pamoja zita act as oscillator kwa ajili ya kuzalisha waves na Trimmer caps kwa ajili turned Power kama kawaida kwa transmitter zote ni 9V kwa mwenye uzoefu karibu tushare mawazo
 
Back
Top Bottom