Habari Zenu!!..
Naombeni niulize hapa bongo naweza kupata hii laptop MSI GS60 Ghost Pro.
Pamoja na Price ya hiyo laptop
Natanguliza Shukrani...
Bado sijapata mtu wakumuamini kuorder kwake na kwa upande wangu sijawahi kuorder kitu online maana naogopa sana matapeli kwa kitu cha gharama..Pesa sio tatizo trust ndio tatizo
Hiyo kwa ebay ikija bongo jumla na maushuru itakua too xpensv.
Bado sijapata mtu wakumuamini kuorder kwake na kwa upande wangu sijawahi kuorder kitu online maana naogopa sana matapeli kwa kitu cha gharama..Pesa sio tatizo trust ndio tatizo
Sio kwajili ya gaming..kutafta kwangu laptop itakayokidhi maitaji yangu nimeona hii ndio itanifaa kwa kazi ngumu na budget yangu ilikuwa 2.5-3m not 5m nikipata kwa hiyo bei itakuwa poaUnataka spend more tha 5M kwa ajili ya gaming tu?
Sio kwajili ya gaming..kutafta kwangu laptop itakayokidhi maitaji yangu nimeona hii ndio itanifaa kwa kazi ngumu na budget yangu ilikuwa 2.5-3m not 5m nikipata kwa hiyo bei itakuwa poa
skylake ime introduce i5 ya laptop ambayo ni quadcore, i5 6300hq hii laptop zake bei ni afadhali.
sasa hivi zipo laptop kibao zina i5 6300hq na gtx 960m kwa around dola 750.
au matumizi yako specs hizo ni ndogo? ni matumizi gani?