Jinsi ya Kutuma Files kwa Mwalimu bila kuliwa na virus

UltiGeek

New Member
Dec 1, 2015
1
0
Njia iliyo zoeleka ni kwa kutumia flash disk ... Njia hii often ni nzuri ila kama mwanachuo mwenzako ana virus kwa PC yake inaweza kuwa Shida ...
Na saa Nyengine ni ki file kidogo cha microsoft word hata MB moja hakina Sasa je ipo njia nyengine ...
JAWABU NI NDIO

Attach File lako kwa SafiCloud.com
Then forward Link kwa unaemtumia hata kwa SMS !

Maisha Marahisi.. toa hofu ya kufutiwa ma file kwa sabab ya virus ... Tumia SafiCloud.com

lakini pia kama file haliwezi ku attach kwa email pengine file ni 25MB au zaidi ...
Tumia SafiCloud.com Ni Rahisi

1. Fungua Saficloud.com kwa Browser yoyote

attachment.php


2. Tupia files

attachment.php


3. Sasa Andika Email yako na email unaemtumia
4. Subiri Link kisha Forward kwa unaetaka apate file :cool2:
 

Attachments

  • safi_posst.jpg
    safi_posst.jpg
    39.8 KB · Views: 329
  • kwa mfano.jpg
    kwa mfano.jpg
    49 KB · Views: 299
Ni njia nzuri mkuu sema kutumia google docs ndo njia rahisi na ya kuaminika zaidi. Pindi nasoma nilikuwa naprefer g docs over Ms word maana kila kitu ilikuwa kwa google docs.
Thanks for sharing mkuu.
 
Ni njia nzuri mkuu sema kutumia google docs ndo njia rahisi na ya kuaminika zaidi. Pindi nasoma nilikuwa naprefer g docs over Ms word maana kila kitu ilikuwa kwa google docs.
Thanks for sharing mkuu.
microsoft pia wana office 365 ambayo ni nzuri kuliko google docs
 
Back
Top Bottom