powerbank ipi itafaa kwa nokia asha 311?

Wanabodi naomba msaada wa hiyo huduma asante


Kwa hiyo simu battery yake haitazidi 1900mAh , so. Powerbank yoyote itafaa hata powerbank ya 2000mAh. Cha muhimu hapo ni matumizi yako na upo mbali na umeme kwa kiasi gani.

Kwa ushauri tafuta powerbank ya 10,000mAh.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom