msaada wa Microsoft Word

Ok9

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
4,549
4,132
Nina laptop windows 8 lkn Microsoft Word inafunguka kwa tabu Sana kuliko proram zingne
Nn cha kufanya?
 
inafunguka taratibu? specs za cpkputer nazo zipoje? unatumia version gani ya office?
 
Word 2013
ram 2gb
hdd 500gb

japo hujataja specs za processor inawezekana ikawa nzito kwa machine yako. hasa kama unairun na apps nyengine kwa pamoja.

fungua task manager kwenye advanced mode halafu pindi ikiwa nzito angalia ni kitu gani kinakuwa full kadi ya hdd ram au cpu
 
Back
Top Bottom