Simu yangu aina ya samsung note 2 imepoteza baseband, mafundi kadhaaa wamenikatisha tamaa kwakunambia imekufa tayari!!upande wa network
Hakuna mtaalam anaye weza kuzi install baseband na imei number ifuction kama kawaida??? Msaada tafadhali
ulizia fundi mwenye box, kwa box ni dk 0 tu inafaa. ila kuwa makini ukiekewa imei ya kichina simu zikizimwa na we umoo
ulizia fundi mwenye box, kwa box ni dk 0 tu inafaa. ila kuwa makini ukiekewa imei ya kichina simu zikizimwa na we umoo
So imei za kibongo inabidi ziweje
Kwa case yake mfano piranha box inaweza msaidia?
Simu yangu aina ya samsung note 2 imepoteza baseband, mafundi kadhaaa wamenikatisha tamaa kwakunambia imekufa tayari!!upande wa network
Hakuna mtaalam anaye weza kuzi install baseband na imei number ifuction kama kawaida??? Msaada tafadhali
kcamp: nimefata maelekezo yako imekubali lakini ukizima simu inapoteza tena!!!
baseband huwa inarudi ukiflash simu hivyo download kwanza stock rom yake then flash kwa odin then imei itakuwa 00 or au 0049 then unaweza repair kwa kutumia box now mabox ni mengi sana kama unacomputer download octoplus box link hii hapa Dev-Host - Octoplus 1.6.5 Cracked 100% working.zip - The Ultimate Free File Hosting / File Sharing Service then open loader kama adminstrator kama unatumia windows 7 or later