there is a problem to connect to google savers try again later
nina simu aina ya samsung galaxy s4, tatizo ni kila nikitaka ku sign in google accont ili niweze kudownload applocation mbalimbali, inasoma kwa muda halafu inarudi mwanzo nashindwa kuendelea mbele, kwa anayejua naomba msaada wenu ndugu zangu.
Nenda kwenye setting za Internet APN angalia kama ziko sawa,maana huko ndio kwenye tatizo.
Ukiona umeshindwa wapigie mtandao husika watakutumie setting za Internet na itajisave automatic.
Mimi kidogo juzi nipasue s6 kwa hasira nikijua nimeuziwa clone kwa tatizo Hilo hilo ulilonalo!
ahsante kwa ushauri ngoja nichaji nijaribu maana nimehangaika mpaka imezima chaji
ndugu zangu bado sijui nifanyeje? au zinatakiwa ziweje katika apn pale maana naweka www.vodacom.co.tz
hiyo simu ndo unatumia kupost humu?