nmechoka kutumia smartphone za tecno coz nmekuwa nkjtahid kubadil mara kwa mara model tofaut
sasa nataka kuhamia kwa samsung...kwa budget ya 250 ipi iko poa kwa matumiz ya kawaida.. natangulza shukran
narecomend galaxy core prime hutojuta tena tafuta ya single line model SM 360-F hiyo ipo vizuri sana coz pia ina 4G LTE na suppotive bandsnmechoka kutumia smartphone za tecno coz nmekuwa nkjtahid kubadil mara kwa mara model tofaut
sasa nataka kuhamia kwa samsung...kwa budget ya 250 ipi iko poa kwa matumiz ya kawaida.. natangulza shukran