korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,053
- 1,259
msaada simu yangu hyo haina WCDMA bali ina TD-WCDMA basi 3g haisomi hata kidogo jpo GSM inasoma, tatizo itakuwa ni huo utofaut wa networks ama, picha yake inafuata kuhusu informations za simu pamoja na baseband ya networks yake