Namna ya kutumia Whatsapp mbili kwenye simu moja

Namna ya kutumia Whatsapp mbili kwenye simu moja

king majah

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
61
Reaction score
50
habari wana group, nimeona post nying hapa za jinsia ya kutumia whasap mbili kwenye simu moja,
INAWEZEKANA, fuata maelezo
ingia play store, then search disa kisha install
Ikimaliza fungua disa then agree the terms of service and privacy
itakuletea setting kwachini kidogo bonyeza add service, kuna text, facebook na whatsap, bonyeza whatsap, itaanza kudownload plugins, ikimaliza bonyeza restart.
kisha kwa juu bonyeza whtasap setting needed, ikikwambia uninstall the official whatsap...... bonyeza skip,
hapa ingiza jina na namba ya simu(usijaribu kuingiza namba ambayo inatumika kwenye ile whatsap ya kawaida itakusumbua), baada ya hapo itakuletea verification bonyeza via sms, kuna sms itakuja kwenye hii namba uliyoingiza copy hiyo whatsap code iliyokuja paste pale kwenye disa kisha submit
HAPO TAYARI UNA WHATSAP MBILI
Kuchat unabonyeza kwenye hiyo alama ya +
 
Je jumbe zitakuwa zinaingia kote kwa wakati uleule? Kama kweli hii itafaa kuweka kwa mademu zetu
 
Kuadd contact unafanyaje? mi ziko phonebook lakini nyingi hazionrkani huku Disa
 
inategemea na simu,namba nyingine itabidi uzi-add upya
 
msg inakwenda kwenye namba iliyotumwa...hivyo kama mtu kakutumia kwenye tigo ukifungua whatsapp uliyotumia tigo unaikuta....
 
Ina lags sana na pia inahitaji net fast mimi nimeitoa baada ya kuona haikidhi matakwa yangu
 
Back
Top Bottom