Ushauri wenu wadau

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Jun 22, 2013
1,301
739
Wakuu nimeamua kununua simu mpya kabla ya mwaka huu kuisha.So niliamua kupitia pitia kwenye online market app inayoitwa Jumia nikakutana na simu inayoitwa INNJOO FIRE PLUS baada ya kusoma features zake nimeipenda kwa kweli kwani ina
ROM 16GB
RAM 2GB
SCREEN SIZE AKE 5.5INCH
ANDROID OS:5.1
BATTERY 3200MAH
ni nyembamba 5.7mm
Bei ake ni 130usd
Zinatengenezewa abu dhabi

Nilikuwa nahitaji experience kwa youote aliyeko nayo kabla ya kuinunua hii simu kwa bugdet angu haizidi 300000tsh
65141f4d9f338d636f9addef3a28e544.jpg
481edec72853144750fe54bedfa2604a.jpg
 
1. abudhabi hawatengenezi simu
2. kaa mbali na brand name zisizojulikana. hakuna kipaji cha kutengeneza simu na hakuna shortcut ya kutengeneza simu.

kulikua na moto x kaymu ila jamaa juzi kati alisema zimeisha unaweza icheki na kuwasiliana nae kama amezileta tena. alikuwa anauza 295,000.
 
mbona kuna smartphones brand nyingi tuu nzuri achana na hizo specifacations za nje hizo ni blah blah tuu za biashara..angalia unapenda OS gani kama android Samsung au Sony ziko pouwa kama windows phone kuna kitu cha Lumia 1020 baddest of all time...lkn hiyo innjoo me ndo 1st tym naskia kwako!!

image_zpsq5qg92do.gif
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom