B Baryona Member Dec 20, 2015 21 3 Dec 24, 2015 #1 kwa nini wi-fi na data connection inajiwasha yenyewe? msaada wa kuizima
ymollel JF-Expert Member Aug 23, 2012 3,096 2,286 Dec 25, 2015 #2 Baryona said: kwa nini wi-fi na data connection inajiwasha yenyewe? msaada wa kuizima Click to expand... Unatumia simu gani? Unatumia mtandao gani? Ume-Install antitheft software? Hiyo simu umenunua mpya au used?
Baryona said: kwa nini wi-fi na data connection inajiwasha yenyewe? msaada wa kuizima Click to expand... Unatumia simu gani? Unatumia mtandao gani? Ume-Install antitheft software? Hiyo simu umenunua mpya au used?
B Baryona Member Dec 20, 2015 21 3 Dec 27, 2015 Thread starter #3 ymollel said: Unatumia simu gani? Unatumia mtandao gani? Ume-Install antitheft software? Hiyo simu umenunua mpya au used? Click to expand... tecno h5 natumia halotel .bado sijainstall
ymollel said: Unatumia simu gani? Unatumia mtandao gani? Ume-Install antitheft software? Hiyo simu umenunua mpya au used? Click to expand... tecno h5 natumia halotel .bado sijainstall