Msaada;app ya kuchora katuni

Msaada;app ya kuchora katuni

fagix

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
741
Reaction score
563
Wakuu samahani sana nahitaji app nzuri ya kuchora katuni
 
Wakuu samahani sana nahitaji app nzuri ya kuchora katuni

Kama uko vizuri unaweza cheki moja inaitwa Adobe Illustrator Draw,
So far mi ndo natumia na inafanya vizuri coz paths zote ni vector, haifanyi image rasterization so ukichora unaweza zoom in bila kupoteza quality kwenye ukubwa wowote ule.
 
Back
Top Bottom