Nipe ushauri kati ya hizi simu,ninunue ipi?

Nipe ushauri kati ya hizi simu,ninunue ipi?

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,976
Reaction score
24,498
Habari.
Nataka kubadilisha simu naomba ushauri wako kati ya hizi simu ninunue ipi?
-samsung galaxy j1
-samsung galaxy grand primier
-samsumg galaxy core primier
itakuwa vizuri mkiniwekea na bei ya kila simu.
Thanks in advance!
 
Sijui hizo zingine lakini galaxy j1 ni simu ya kishenzi sana nakushauri ununue huawei y625 ina kioo 5 inches ram 1 gb ni bora kuliko hiyo j1
 
Usithubutu galaxy j ni kimeo ina RAM ndogo sana(512MB), itakuboa ndani ya muda mfupi sana. J1 ndio natumia hivi sasa. Nunua core prime coz ina 1GB RAM NA 1GHz processor
 
simu zote hizo hazifanani bei wala specs kiufupi hazishindanishiki.
galaxy j1 chini ya 200,000
galaxy core prime 200,00-300,000
galaxy grand prime 300,000-400,000

na uzuri ndio hivyo hivyo grand nzuri kuliko core na core nzuri kuliko j1
 
Kwa ubora na ufanisi chukua iPhone 6+ mkuu siku nyingine hutauliza tena
 
simu zote hizo hazifanani bei wala specs kiufupi hazishindanishiki.
galaxy j1 chini ya 200,000
galaxy core prime 200,00-300,000
galaxy grand prime 300,000-400,000

na uzuri ndio hivyo hivyo grand nzuri kuliko core na core nzuri kuliko j1

mkuu chief nataka kununua sm htc m8 nipe sifa zake inafaa au nakaribisha matatizo katka familia
 
Wandugu, Nokia XL Dual sim imepasua kioo msaada tafadhali kwa Mwanza ntapata wapi huduma?
Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom