princess mwaa
Member
- Nov 16, 2015
- 12
- 1
habarin kaka na dada zangu. mimi ninamiliki ipad ya apple yenye GB 32 hv karibun ilizimika ikawa inadai upadates. baas nikai update ikawaka na ilikuwa inadai kuji reset ikajireset na ikawa poa kabisaa. sasa baada ya hapo kila nikiichaji haizidi 2%. jaman nachangamyikiwa, maana chaja yake orijino imepotea kipind nafanya mvjakato wa kui up date so nishajarb hizi chaja za madukan ndo inaishia 2%. je tatzo ni chaja au kuna kitu kingine?? msaada tafadhali kaka zangu ma IT