naombeni msaada simu yangu inajiwasha wi fi na data connection. nini tatizo?
kaka nielekeze hiyo hard reset nijaribu
Ingia SETTINGS Then RESET FACTORY ukishindwa weka mrejesho nikupe trick nyingine.
poa kaka
bado kaka ebu nisaidie trick nyingine
Jaribu trick hii bonyeza power botton na sehemu ya kuongeza sauti kwa pamoja tulia kama sekunde 50 ukiwa umebonyeza hizo botton kuna maneno yatakuja wipe and data factory shusha sehemu ya kupunguzia sauti uyapate hayo maneno kisha click sehemu ya kuongezea sauti kisha fast reboot utakuwa uko fresh.