Msaada simu ya tecno inagoma (inastack)

Msaada simu ya tecno inagoma (inastack)

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,863
Wakuu simu yangu ya tecno m9 nikiwa naitumia inagoma na kustack na kuniandikia pale chini
Exit..........................x nimeirestore factory lakini bado tatizo halijaisha msaada tafadhali.
@Chief-Mkwawa na wengineo
 
Unaweza weka screenshot? Usikute ni adds hizo
 
Adds ni matangazo mkuu unashangaa lina pop up af pia lina kupa option ya exit pemben yake

Unayatoaje mkuu maana hiyo option ya ku exit inagoma kutoka.
 
Kutoa adds mkuu njia ya uhakika ni kuroot simu Kwanza... Sasa sina uhakika na hyo exit yako kama ni adds mwel au la.. Ndio mana nikakwambia uweke screenshot iwe rahisi mkuu.. Au funguka vizuri... Kuhusu hilo tatizo.. Linatokea wakati gani.. Limeanza lin.. Baada ya ku install nn?
 
Matangazo yote yanayotokea usiyakubali kwa ku-download
zima chomoa betri na anza mwanzo
simu hizi za android zinabeba virus sana
kwa hiyo lazima uchague baadhi ya antvirus na mambo mengine
siyo yote
 
screenshot hiyo hapo
 

Attachments

  • Screenshot_2016-01-01-23-37-57.png
    Screenshot_2016-01-01-23-37-57.png
    39.3 KB · Views: 45
ikitoka hapo inakuwa hivi
@kcamp
 

Attachments

  • Screenshot_2016-01-01-23-40-03.png
    Screenshot_2016-01-01-23-40-03.png
    90.4 KB · Views: 39
Labda TCRA wameifungia
Si wamesema kwaka huu 2016 wanafungia cmu feki zote
 
hayo ni matangazo, kuna app ndani ya simu ndio inafanya hivyo. sisi hatuijui unatakiwa ukumbuke mwenyewe ulieka nini kabla ya hilo tatizo
 
Back
Top Bottom