Msaada!! Lg g2 haisomi 3G

hatym

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
513
178
Msaada nna simu lg g2
Model D 802
Made in korea
Haisomi mtandao wa 3g nnapoweka setting za 3G,
Mwenye kujua utatuzi wa jambo hili anisaidie
 
hebu test hii njia

bonyeza
*#*#4636#*#*

nenda phone information halafu chagua network type eka 3g (wcdma) then uone itakujae.

kama ilikuwa imelokiwa cdma itarudi wcdma na itafanya kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom