Wakuu habari za jioni nimepata kununua simu tajwa hapo juu ila nina mashaka nayo kidogo before nilikua natumia Galaxy s4 camera ya s4 naiona mzuri kuliko hii note 2 pia kinginge application zake nyingi naweza kuzi uninstall wakati simu inaonyesha haijawa rooted nikiweka code za samsung inakubali so naomba wabobezi muweze kunisaidia sababu sijatoa pesa bado naidukuwa dukuwa kwanza ndio nilipe. Nawasilisha hoja