Kaputula La Marx
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 562
- 494
Kwa yeyote aliye na game hiyo ambayo imekuwa HACKED naomba anitumie link yake hapa naitaman sana hiyo game asanteni
kwa nini unataka iliyo hacked,au googleplay wanataka uilipie ? mimi niliidownload store ya windows phone bure kabisa..pia ni game kubwa setup yake ina around 800mb na baada ya kuinstall linadownload files za kama 500mb hivi ili lifae kucheza,sema ni zinga la game.Kwa yeyote aliye na game hiyo ambayo imekuwa HACKED naomba anitumie link yake hapa naitaman sana hiyo game asanteni
Thanks mkuu
Thanks mkuu