Nini kinasababisha email kukataa kufika?

Mwamba028

JF-Expert Member
Nov 15, 2013
4,574
3,635
Wakuu em nisaidieni katika hili
Nimekua nikituma maombi ya kazi kwenda recruittanzania@dangoteprojects.com lakini kila nikituma msg inaenda ila baada ya muda narudishiwa majibu kuwa haijafika na kuwa ni permanent problem

Shida inaweza kuwa ni nini hapa

msg nayojibiwa ndo hiyo hapo chini
 
Attachments

  • 1451714848999.jpg
    1451714848999.jpg
    65.1 KB · Views: 19
Wakuu em nisaidieni katika hili
Nimekua nikituma maombi ya kazi kwenda recruittanzania@dangoteprojects.com lakini kila nikituma msg inaenda ila baada ya muda narudishiwa majibu kuwa haijafika na kuwa ni permanent problem

Shida inaweza kuwa ni nini hapa

msg nayojibiwa ndo hiyo hapo chini
Nimeangalia hiyo attachment yako,kuna sehemu inasema "user is over quota" kuna makampuni huwa wanatoa size ya e-mail box(quota) inaweza kuwa 1GB au any amount.Ikitokea kiasi hiki kimeisha mtu hawezi kupokea new e-mail mpaka nafasi ipatikane aidha kwa kufuta e-mail alizo nazo au kuongezewa e-mail size.
Kwa kifupi ni kwamba size ya hiyo account imejaa,wewe wapigie simu uwaambie,haipokei new e-mail si zako tu ni yeyote atakayetuma kama hapana free space.
 
nashukuru sana mkuu.
 
Back
Top Bottom