Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,437
- 1,027
Nimekumbana na hii kitu kwenye simu ya tecno P5.Kuna apps kibao zinaji-install zenyewe bila ridhaa yangu plus siwezi kufanya lolote,kuandika sms tu inakuwa shida kwasababu ya interference ya hizi push ads.Naombeni msaada jinsi ya kutatua hili tatizo.