Technian Tanga
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 411
- 200
Wakuu simu ya wife haitaki kuconnect email baada ya tu ya kuremove email ya mwanzo pia hali ni ivo ivo playstore inaleta ujumbe huu
ni hivi vya voda smart kicka
Mkuu inshu nimesha solve tayari ilikuwa tarehe haiko correct... Thanks for your adviceItakua apn haziko sawa