svchost process inachukuwa memory kubwaa

alikhalef

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
717
74
Kwann hii process inakuwa na kazi kubwa wakati computer haina kazi yyt ile. Tatizo hili nimeliona kwenye windows7.
 
ni windows update hio hata mimi inanikera kweli sijui wanafikiri kila mtu ana ram 32gb.

kuifunga just nenda kwenye windows update halafu chagua dont check update itaondoka
 
Back
Top Bottom