Fundi wa Machine Za Picha (PhotoLab) ya Noritsu ANAHITAJIKA

relight

Member
Dec 30, 2015
24
2
WanaJamvi,

Hongereni kwa kuuona Mwaka Mpya 2016. @016 iwe ya Kheri kwenu.

Mwenzenu ninatafuta fundi wa Machine ya Kutengenezea / Kuchapisha Picha. Machine ni Noritsu 3311. Ninahitaji kupata fundi maana nilipata mmoja ila anazungusha sana.

Tafadhali tuwasiliane hapa. Au Whatsapp 0769711544
 
Back
Top Bottom