Kwa wale wataalamu wa hii kodi app ninataka kuziweka zile sports devil,money sports n.k katika mpangilio kama ilivyo phoenix unapoifungua naomba maelekezo
Habarini ndugu zangu, simu yangu tajwa hapo juu imekuwa na tabia ya kuji restart yenyewe na Mara nyingne inazimika..na ikijizima huwa haiwaki moja kwa moja, sasa sijajua itakuwa na tatizo gani...
Wakuu nina Laptop aina ya Acer betri yake haikai na charge hata kwa lisaa limoja natafuta wapi naweza nunua bwtri mpya kwa Mwanza
Nitashukuru nikipatiwa na bei ...
Habari wana JF, Jinsi ya kuedit ID yangu i mean kubadili jina au kama kuna Expert wa uzi huu anipe maujuzi au kunibadilishia kabisa ID yangu. Nawasilisha. Invisible msaada tafadhali
Chemistry: Four elements added to periodic table
4 January 2016
From the section Science & Environment
Image copyright AP
Four chemical elements have been formally added to the periodic table...
Sorry wakuu kutokana na kushushwa kwa vifurushi vya usiku imekua ngumu mno kudownload mizigo mikubwa so naomba msaada kama kuna mtu ambaye alisha download Game za NBA 2K15 au 2K16 na Assassin...
Nisaidieni simu yangu inakuwa kama inaji-touch na hivyo muda mwingi inakuwa ina-vibrate kama imeguswa kioo chake. Inaji-touch upande wa kioo kwenye kona ya kushoto chini.
Wakati mwingine inatulia...
Picha imepigwa kutoka chombo kinacho uzunguka mwezi upande liliko jua
mwaka 1968 wana anga wa Apollo8 walipiga picha hii bada ya kutua mwezini
na hapa chini ni picha ya hivi karibuni...
simu yangu nimeseti mtu akinipigia au akinitumia sms iwe ina vibrate,lakin toka jana naona call au sms zinakuja kimya kimya wakati pale juu alama ya vibration bado ipo natumia tecno H6
samahanini jaman simu yangu tecno p3 inasema error retreaving information from server rpc s-7 na macode mengne nikitaka kudownlod toka kwnye playstore nifanyaje ili ipone?
Kindly be informed we have launched (UNIVOUCHERS) for university segment is categorized into three segments.
1. Daily voucher
2. Weekly voucher
3. Night voucher
Note;- The...
Kama kichwa cha Habari kinavyosema, naomba kufahamishwa ninunue Simu IPI yenye port ya HDMI ambayo nawe za kuiunga kwenye Tv Na kula Mpira live.
Pia naomba bei yake kwa sasa dukani
Natumai...
habari wadau, nilinunua smartfone ila inatumia line ya voda tu, sasa naomba kama kuna mtu anajua, je unaweza uka flash ukatumia line zote? na uki flash hakuna side effects kwenye simu? shukrani..
WINDOWS 10 IMESHAWEKWA KWENYE KOMPYUTA MILIONI 164 KUFIKIA MWISHONI MWA 2015
Kufikia mwishoni mwa mwaka 2015 data kutoka shirika la Net Applications linaonesha hadi sasa ni takribani kompyuta...
Mitawezaje kutoa pattern cm ambayo uki press volume na power button hailet option ya ku restore na matokeo yake inawaka kabisa? au cm ya namna iyo pattern hutoka kwa computer
Prelude is a staggering 488m long and the best way to grasp what this means is by comparison with something more familiar.
Four football pitches placed end-to-end would not quite match this...