philipItinde
Member
- Jan 29, 2015
- 29
- 9
simu tajwa hapo juu ina tatizo la kujirestart yenyewe na imekataa kutofomatika kwa vyovyote vile (kila nikifomati baada ya kureboot inarudi kama ilivyokuwa mwanzo) nimetumia njia iliyopo humu:- androidmtk.com/flash-stock-firmware-huawei-smartphone lakini sijafanikiwa ninapata jibu ili "Update exception EMMC is readonly, you can't update your system" Hivyo wajuzi nisaidieni maarifa niikomboe simu hii chanzo kabisa ni unfortunately some of user & system applications kustop zenyewe na ilianza jana..........