Nisaidie kuhusu hili kwenye tecno y6

3g IPO line zote kazi kwako tu unapotaka kutumia line2 una badilisha 3g ikae line2
 
Hamna haja ya kubadilisha laini fanya setting tu kitu kinasoma 3G nenda Mobile network 3G service enable laini unayotaka isome 3G.
 
Back
Top Bottom