Je wajua ndoto husababishwa na nini?

Je wajua ndoto husababishwa na nini?

ego

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,620
Reaction score
1,408
Ndoto husababishwa na wadudu ambao wanaingia ubongo wa wanadamu na wanauwezo wa kuchochea fikra na matendo kwa binadamu. Wadudu hawa ambao wanauwezo wa kuchochea fikra kwa binadamu, wadudu hawa ndio husababisha msongo wa mawazo, ndio huleta machale (unawaza kitu alafu kinatokea), pia wanauwezo wa kuchochea misuli ya mwili wa binadamu kupitia ubongo. Wadudu hawa wana akili kama ya binadamu ingawa ni wadudu na uwezo wao wa akili pamoja na uwezo wa kuingia ubongo wa mwanadamu na kusumbua fikra na matendo yake umewafanya wadudu hawa kumchenga mwanadamu ili asigundulike. wadudu hawa ndio chanzo cha mawazo yote ya kusadikika kwa wanadamu. Kuhusu ndoto mwanadamu akiwa usingizini wadudu hawa humletea mawazo na kujenga taswira ya matukio mbalimbali kichwani mwake na wakati huo wakichochea misuli ya binadamu kama anatenda matendo naye na hiyo ndio inakuwa ndoto.
 
Join Date : 10th April 2013

Posts : 118

Rep Power : 400

Likes Received :34

Likes Given: 3

​

Ha ha ha ha ha ha haaaaah! Tafiti nyingine bwana! Haya wale wa kuzoa kila kitu njooni hapa mchukue hiki kitu kuna mdau kakifanyia utafiti wake.
 
Watu wengi wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Huyu atakuwa ana elimu haela ya wale wenzetu ndivyo wanavyodanganywa yy kakazana wadudu tu hata jona la wadudu hao hawataji anabaki wadudu wadudu wanatoka wap wanasababishwa na nin hasemi mwisho atakuja na maada kwamba unajua jf inarangi gani
 
Hasa Hao Wadudu Wapo Kundi Lipi La Viumbe Hai, Wanaingia Vipi Kwa Binadamu, Wanatoka Wapi???? kama Hvyo Nadhan watu Wa Ukanda Fulani Wangekua Ndo Mabingwa Wa Kuota Ndoto Sanaaaa.... mfano Malaria Watu Wa Tropical Ndo Tunaugua Sanaaa
 
Ndoto husababishwa na wadudu ambao wanaingia ubongo wa wanadamu na wanauwezo wa kuchochea fikra na matendo kwa binadamu. Wadudu hawa ambao wanauwezo wa kuchochea fikra kwa binadamu, wadudu hawa ndio husababisha msongo wa mawazo, ndio huleta machale (unawaza kitu alafu kinatokea), pia wanauwezo wa kuchochea misuli ya mwili wa binadamu kupitia ubongo. Wadudu hawa wana akili kama ya binadamu ingawa ni wadudu na uwezo wao wa akili pamoja na uwezo wa kuingia ubongo wa mwanadamu na kusumbua fikra na matendo yake umewafanya wadudu hawa kumchenga mwanadamu ili asigundulike. wadudu hawa ndio chanzo cha mawazo yote ya kusadikika kwa wanadamu. Kuhusu ndoto mwanadamu akiwa usingizini wadudu hawa humletea mawazo na kujenga taswira ya matukio mbalimbali kichwani mwake na wakati huo wakichochea misuli ya binadamu kama anatenda matendo naye na hiyo ndio inakuwa ndoto.

kasome anatomy and physiology of human thn uje kukanusha uongo wako!i pass through it bt huu uongo wako ni waajabu kupitiliza!nasikitika kama siku moja tutapata msomi kama ww tutakuwa tunazalisha matatizo kama taifa!
 
Dreaming takes place in different ways during four of the basic sleep stages. Dreams are not always composed of only images, since it is known that blind people and people who cannot visualize while awake also dream. Their dreams are made up of mostly auditory and sensory experiences. Dreaming can occur in any stage of sleep. Dreams have been reported from all stages inlaboratory experiments. Most dreaming occurs during REMsleep.
Studies have shown that some animals also dream. Many mammals dream every night. In humans, dreams usually start after an hour and a half into sleep, sometimes even before. An estimate for the amount of time we dreamper day is about 2 hours. This means that if one were to live 67 years, they would have dreamed about 49,000 hours.
There are many things people believe about how dreams are caused. Not all of them reallyhave an effect. For example, eating certain foods before bedtime does not have anythingto do with what you dream. It seems like many people believe this, even James did before starting research on this project. Your sleeping environment does not cause what you dream either. Internal biological processes, according to research done by specialists mostly cause dreaming.
Lucid dreamingis the ability of the person that is dreaming to become aware of one's own dream and to be able to control it. Some lucid dreamers can learn to communicate with their scientists without speaking, this is, through mental signals. The research on luciddreaming is rather new, so there is less information about it than on other types of dreaming, but it is a current topic of much interest.
Dreaming is a very interesting subject in the area of sleep. It is also quite mysterious as there are still many things that cannot be explained about dreaming and REMsleep. Research about sleep continues today to try to unravel these mysteries. New research promises to give significant information about lucid dreaming, memory, storage and retrieval, psychobiological processes, human consciousness, and specific operations in the mind.
 
miongoni mwa vitu mabvyo nimeshindwa kujiaptia majibu yake hadi leo katika mwili wa binadamu ni kitendo na uwezo wa mtu kunusa na kufikiri(imagination) hapa tumuache mungu aitwe mungu tu!!
 
wadudu hawa wamesababisha mtu kaanzisha mada JF.
 
Of all you have explained i am familiar with lucid dreaming. Actualy when am in a dream i always understand that i am in a dream and when something bad wants to happen,am always able to tell myself that c'mon wake up,you are just in a dream!. I didnt know the condition/situation till i saw your term-Lucid dreaming!

Dreaming takes place in different ways during four of the basic sleep stages. Dreams are not always composed of only images, since it is known that blind people and people who cannot visualize while awake also dream. Their dreams are made up of mostly auditory and sensory experiences. Dreaming can occur in any stage of sleep. Dreams have been reported from all stages inlaboratory experiments. Most dreaming occurs during REMsleep.
Studies have shown that some animals also dream. Many mammals dream every night. In humans, dreams usually start after an hour and a half into sleep, sometimes even before. An estimate for the amount of time we dreamper day is about 2 hours. This means that if one were to live 67 years, they would have dreamed about 49,000 hours.
There are many things people believe about how dreams are caused. Not all of them reallyhave an effect. For example, eating certain foods before bedtime does not have anythingto do with what you dream. It seems like many people believe this, even James did before starting research on this project. Your sleeping environment does not cause what you dream either. Internal biological processes, according to research done by specialists mostly cause dreaming.
Lucid dreamingis the ability of the person that is dreaming to become aware of one's own dream and to be able to control it. Some lucid dreamers can learn to communicate with their scientists without speaking, this is, through mental signals. The research on luciddreaming is rather new, so there is less information about it than on other types of dreaming, but it is a current topic of much interest.
Dreaming is a very interesting subject in the area of sleep. It is also quite mysterious as there are still many things that cannot be explained about dreaming and REMsleep. Research about sleep continues today to try to unravel these mysteries. New research promises to give significant information about lucid dreaming, memory, storage and retrieval, psychobiological processes, human consciousness, and specific operations in the mind.
 
nahisi huyo alokwambia kakudanganya sana...,maybe kajarib kusoma kwenye :help:ENCARTA..., WIKIPEDIA :help:

:disapointed:nakushauri tu
 
kasome anatomy and physiology of human thn uje kukanusha uongo wako!i pass through it bt huu uongo wako ni waajabu kupitiliza!nasikitika kama siku moja tutapata msomi kama ww tutakuwa tunazalisha matatizo kama taifa!
Naamini wanadamu wote hawajui kinachotokea kuhusu ndoto, hii ni research yangu mwenyewe ambayo nimeifanya sio kwa kupenda bali matatizo yaliyonikuta nimeangaishwa. nimeangaishwa nimesumbuliwa na mawazo, ndoto, viungo vyangu kuchochewa na vitu vingi research yangu imehusisha waganga wa kienyeji na nyumba za ibada ambao hao wote vinavyotumika ni viumbe hawa na hakuna tofauti bali sisi ndio tunaona kama nyumba za ibada na uganga ni tofauti ila ukweli ni viumbe walewale. Theory unazozungumza hazina ukweli maana wewe hujiulizi inakuwaje mtu anaota jambo alafu linakuja kutokea (mfano ni ndoto za kimweli aliyeota watu weupe katika vitabu vya primary zamani) au mtu anaenda kwa mganga anaambiwa matatizo yake au mtu anayejiita mtu wa mungu anakuambia litatokea hili. ukweli ni kuwa haya yote yanafanywa na viumbe wenye uwezo wa kuchochea mawazo kwa binadamu. wanaokuwa wanasema wanaijiwa na mawazo tu wanasema na ndoto ndivyo ubongo unavyochochewa mawazo. viumbe hawa wanaakili kama binadamu. wanasafirije, wanawasilianaje hio sijui
 
Huyu atakuwa ana elimu haela ya wale wenzetu ndivyo wanavyodanganywa yy kakazana wadudu tu hata jona la wadudu hao hawataji anabaki wadudu wadudu wanatoka wap wanasababishwa na nin hasemi mwisho atakuja na maada kwamba unajua jf inarangi gani

We mburula andika kiswahili ww sio kichaga, ebo! Haela ndio nini?
 
Huyu atakuwa ana elimu haela ya wale wenzetu ndivyo wanavyodanganywa yy kakazana wadudu tu hata jona la wadudu hao hawataji anabaki wadudu wadudu wanatoka wap wanasababishwa na nin hasemi mwisho atakuja na maada kwamba unajua jf inarangi gani

acha UNAAA elimu Akhela unaijua wewe?
 
thread.jpg
 
dah... nilichokikuta nitofauti kabisa na nilichokitegemea.......
 
unataka tukuute mvumbuzi hapana kajipange tena kijana hiyo tehnologia finyu kabisa au jamaa umeota hao waduu:A S 27:
 
Back
Top Bottom