Msaada kwenye tuta

Msaada kwenye tuta

banalunda

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
231
Reaction score
67
Wakuu kheri ya mwaka mpya .

Naomba nipatiwe msaada, Niko na PC Hp ilikuwa naweza ku connect wireless kwa kutumia simu ama sehemu ypyote yene wifi naweza ku connect kama nina password, ila imekataa gafla sasa haiwezi detect wireless net, msaada nifanyeje.
 
Jaribu kwa blue tooth!!kama PC yako ina Bluetooth switch on then switch on kwenye simu pia search utaiona nenda kwenye pc alaf connect wireless network but through Bluetooth its easy huwa haikatiki
 
Pc nyingi huwa na switch maalum juu au pembezoni mwa key board switch on kwanza alafu ingia network sharing centre angalia kama network adaptor ya wireless iko on ikiwa iko on na network inakataa basi tatizo ni network saa nyingine test kuhamahama na hiyo pc pamoja na simu network ikikubali update au download internet drivers
 
Back
Top Bottom