Msaada Samsung Galaxy J5 haioneshi Contacts

Going Concern

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
1,071
1,212
Simu yangu imepoteza majina gafla, nilikua nasave majina yote kwenye google account, nimejaribu njia ya ku back up hizi contacts nimeshindwa kabisa.... naomba msaada wakuu....
 
nenda setting then accounts ipo acount yako ya google?

then nenda contacts halafu setting halafu contacts to display then angalia google imeekewa tick?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom