Copy nyingi za samsung ndo uwa zina ako ka tatizo! Unaweza kusolve io kwa ku flash baseband muafaka na network za bongo! flash na baseband tofauti tofauti mpaka upate inayosoma
Kwa msaada wangu just flash it..Nami nilipata tatizo kama lako nilirestore x1000..nikaenda kwa fundi wao ni story nyingi kwa sababau kaona hela alfu hawezi kazi..Nikatuliza kichwa nikagoogle nikatafuta tatizo for 2 hrs...mara "Problem Solved"..Tafuta Rom ya aina ya simu alfu "FLASH"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.