Finder boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 608
- 150
wandugu salamu, naomba msaada wenu maana hapa natamani kulia maana kila nikiingia kwenye page nazozitaka hata jamiiforums natolewa na kupelekwa page nyingine ya matangazo ama alibaba primier au mengine, na kwenye page yanakuja maneno haya: "powerd by bronze aid" na mengine "related search by bronze aid" nikijaribu kucancel maneno hayo nhayatoki badala yake napelekwa page nyingine. nimefanya full scan lakini tatizo bado linaendelea, yaani hapa kichwa kinauma. msaada wenu jamani. asanteni!