David franco
Member
- Jun 28, 2013
- 27
- 3
Guys naombeni msaada wa activation key for Ms office 2016
Mkuu kabla ya nimedownload ila sijakuelewa hapo ulipo sema Hakikisha office haifanyi kazi background wakati teyARI IPO ms 2016Unaweza kufanya activation kwa njia ya KMS. Pakua KMSAuto hapa. KMSAuto Lite Portable TEST4.rar
NB: Hakikisha office haifanyi kazi background kabla ya kujaribu activation. Zima antivirus yako kabla ya kuanza activation.
na nikiwa na open inagoma kufunguka plzz nisaidieeMkuu kabla ya nimedownload ila sijakuelewa hapo ulipo sema Hakikisha office haifanyi kazi background wakati teyARI IPO ms 2016