Msaada tatizo la simu kuto'connect internet

dwoxye

JF-Expert Member
May 2, 2015
679
353
Wakuu habari za jioni.

Kuna simu hapa ina tatizo tajwa hapo juu kwamba data ikiwashwa haiungi(connect), haioneshi vile 'vimshale' vinavyoashiria imekuwa connected!

Lakini ukiunga Wi-Fi/hotspot inakuwa connected na inafanya kazi kabisa!

Msaada, tatizo linaweza likawa ni nin hapa, au nin kifanyike kuondoa hili tatizo.!
 
Airtel mkuu.
Jaribu kutoa line yako....kisha irudishe then utapata msg za configuration kwa internet(kusaidia kupata setting za internet) once hizo msg zikija jaribu kusave...ili uwe na setting.
Ikikataa inabidi ufanye manual setting.
 
Airtel mkuu.

nenda setting then wireless and network kama kuna more ibonyeze utaona mobile networks (simu nyengine ukifika tu wireless and network utaiona mobile network) then chagua acess point name.

create new apn hapo kwa kubonyeza vidot vitatu kwa juu au button iliokaa kama ngazi chini.

connection name andika chochote
apn andika internet

save then activate apn yako kwa kuiekea kidoti kwa mbele
 
Daah!
Asante sana mkuu imekubali, you're more than expert Chief!

Nashukuru sana en God bless you.
 
Back
Top Bottom