blessed one
Member
- Apr 14, 2011
- 10
- 3
Nina laptop yangu aina ya Toshiba satellite betri lake limeharibika siku c nyingi kwahiyo natumia moja kwa moja toka kwenye umeme. Sasa hivi imekuja na tatizo jipya ambalo ni kuzima ghafla lakini ukiiwasha inawaka kama kawaida. Ni tatizo ambalo halitokei mara kwa mara ila co mara moja nimekutana na jambo hlo nyakati tofauti. na wakati mwingine naweza nikaitumia kwa masaa mengi na isifanye hivyo. Naombeni msaada wenu wana jamvi