Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,118
- 4,765
Nina Lumia 520. Hii Simu Ina matatizo kadhaa.
1. Nikiweka line ya airtel haisomi 3G licha ya kuweka maximum speed katika settings kuwa 3G. Huku kwa mitandao engine with same settings simu inashika H+
2. Nikipiga simu screen inakuwa deactivated na kuwa black. Inakuwa hivyo kwa kipindi chote simu inapokuwa connected. Screen inarudi kawaida simu ikikatika.