Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,364
- 12,456
Nahitaji msaada kuhusu hii "app runtime for chrome", ni kitu gani na ufanyaji kazi wake ukoje etc. Nimeiona kwenye thread flani hivi ila sijaielewa. Nataka kutumia Whatsapp kwenye PC yenye CPU ya 2.5GHz na R.A.M ya 4GB. Msaada please.
Chief-Mkwawa Mwl.RCT
Chief-Mkwawa Mwl.RCT
Last edited: