Msaada: Jinsi ya kubadili VHS kwenda DVD

NGOSWE2

JF-Expert Member
Dec 19, 2013
635
547
Habari za leo waungwana! Kama kichwa cha habari kijielezavyo hapo juu, nahitaji msaada wa mwenye kujua kama kuna teknojia ya kubadilisha video zilizomo katika tape za VHS na kwenda katika DVD. Nahitaji sana kama kuna uwezekano huo. Na kama upo uwezekano huo, na kwa hapa Dar es Salaa ni maeneo gani wanafanya kazi hii? Natanguliza shukrani.
 
unataka personal au proffesional?

kama ni mambo yako tu mwenyewe unaweza tumia tv tuner, nunua hichi kifaa au azima kwa mtu then kitabadilisha signal za deki ya VHS kuweza kupitia kwenye USB ili uweze kuona kupitia kwenye laptop.
th


ukishafanikisha kuweza kuangalia VHS yako kwenye laptop download software ya screen recording halafu record video yako yote.

ukimaliza kurekodi video burn hio video kwenye DVD.
 
Nashukuru sana Chief-Mkwawa kwa msaada wako. Ubarikiwe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom