hyle master
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 207
- 23
wakuu msaada wenu unahitajika nime nunua domain nahitaji kuitumia kwenye blog yangu ni fanyaje ili niitumie badala ya url ya google blog
Umenunua Kotoka kampuni Gani? Mana wanaosajili wengine huwa wanafanya setup bure au unaweza fanya mwenyewe kupitia Dashbord ya blog yako Sehemu ya Kubadilishia Domainwakuu msaada wenu unahitajika nime nunua domain nahitaji kuitumia kwenye blog yangu ni fanyaje ili niitumie badala ya url ya google blog
kubadili plaform mkuuUnataka kubadili jina au kubadili platform kutoka blogger to any other?