Laptop problem

Jan 8, 2016
8
2
Nina Laptop aina ya hp compaq 6720s nikiplug charger pale kwenye tundu la kuwekea panawaka kama vicheche nikijaribu kuwasha haiwaki nisaidieni sijui tatizo Na nifanye nini?
 
hiyo ina connection problem uko pande zipi, inahitaji kupigwa master au resoldering
 
Back
Top Bottom