Heshima yenu wakuu. Naomba msaada jinsi ya kuwezesha simu yangu iwe na uwezo wa kupata internet. Natumia mtandao wa tigo na simu ni aina ya Samsung GT-S7500.......Nimejaribu kupiga customer care...
Kwa sasa kuna matatizo kwenye hizi decorders, lakini unaweza kupata almost chanel 22 .
Nenda CHANNEL MANAGER--> NIT SEARCH weka frequency ya 482K
Then search.
Chanell zinazopatikana;
Chanel...
Sikuiz kuna ATM kadi tofaut tofaut kuna ATM kadi zimeandikwa, MASTER CARD, VISA na zingne zipo normal hizana hayo majina mfano CRDB now wana master card na visa. NMB nao saiv wana master card...
Binadamu anajifanya mjanja na kumbe si mjanja kabisa. Watu wengi ni wazembe sana inapokuja kutumia password mtandaoni na sehemu mbalimbali. Utakuta mtu anarudia password yake ileile au hata...
Wakuu, asanteni kwa msaada wenu katika teknolojia.
Nimekwama sehemu na nikaona hapa naweza pata msaada wa haraka.
Ninahitaji kuanza kujifunza kutengeneza magazine, na nimefuatilia kwenye mtandao...
In a new article, published in the science journal Nature, researchers propose a paradigm-shifting change in the treatment of wastewater, a shift they say could have a dramatic global impact...
Wakuu naomba kujua SMTP server ya TTCL inaitwaje jamani manake natumia TTCL Broadband huku bush na mara nyingi nimekuwa natumia outlook kwa ajili mawasiliano mbali mbali lakini nina kama wiki tatu...
Naomben msaada wenu kuna jamaa kaiba akaunt yangu ya instagram na kubadilisha info zote kuanzia username, email hadi password.. Karma kuna mtaalamu wa kuweza kunisaidia kuirudisha nitashukuru sana
Wakuu salamu kwenu,
Nikiwa kama mdau wa ICT napenda kufahamu kitu kimoja kuhusu mobile application.
Kwa mtu ama kikundi cha watu wanaomiliki mobile apps zao na kuziupload mfano google store na...
Kuna watu huwa wanatamani kuangalia soccer ligi mbalimbali za ulaya kupitia laptop zao na hawajapata njia rahisi jibu ni hili hapa.
Unachotakiwa kuwanacho ni laptop yako/PC pamoja iwe na huduma ya...
Wakuu hivi karibuni nimenunua window phone,baada ya manzi wangu kung'ang'ania simu yangu ya samsung,nikaamua ku-'experience the difference' kwa kuhamia Window phone kutokana na kwamba mimi nilikua...
GRANEX ENGINEERING WORKS
We are registered engineering work on the following areas:
Services
· Industrial, Commercial and Domestic Electrical maintenance, wiring and Installations
·...
Nataka ninunue hiyo simu, naweza kupata kwa bei gani na iwe original na ni kwenye maduka gani mikoa ya Arusha, Dar es Salaam, Mwanza na Mbeya?
Sababu ya kutaja hiyo mikoa itategemea hiyo siku...
Habari wapendwa, nina shida ya active ballun au cctv amplifier nina project ya kufunga cameras zenye urefu usiopungua 400m. Mwenye nazo kindly inbox me.
Habari zenu wakuu,
Naamini hapa niko jukwaa sahihi la wataalamu wa mambo ya teknolojia tena ya kisasa kabisa.
Naomba kufahamishwa ni vifaa gani(Vya kisasa kwelikweli) muhimu kwa kuanzisha studio...
Ndugu wanaJF, kwa mwenye kuifahamu vyema gari aina tajwa hapo juu anisaidie hasa kuhusu ulaji wa mafuta na uimara wa injini zake ni D4 VVTi ya mwaka 2004, nimeitamani sana.
Ahsanteni.