Plan A: Kusoma, Hivyo Nenda kasomehabari zenu wakuu!mimi ni mtanzania niliefadhiliwa kwenda kusoma iran,program DOCTOR OF MEDICINE,kwanyie mnavoijua iran,mungenishauri niende au niikache mana sina aidia yoyote kuhusu iran
nashukuru kaka kwa ushauri wako,wamedai ukifika kule kuna nyumba ambazo upatiwa wanafunziKwa hoja ya kitaaluma, Iran wako vizuri katika MEDICINE kuliko nchi nyingi za kiarabu; Hivyo haina taabu ukisoma huko.
Kwa hoja ya Kijamii au Kiimani sina uhakika kama utakuwa accomodated vizuri kama utakuwa una Imani tofauti. Ngoja waje wanaoelewa hili zaidi.
Kwa hoja ya kitaaluma, Iran wako vizuri katika MEDICINE kuliko nchi nyingi za kiarabu; Hivyo haina taabu ukisoma huko.
Kwa hoja ya Kijamii au Kiimani sina uhakika kama utakuwa accomodated vizuri kama utakuwa una Imani tofauti. Ngoja waje wanaoelewa hili zaidi.
Ndio, yawezekana.nashukuru kaka kwa ushauri wako,wamedai ukifika kule kuna nyumba ambazo upatiwa wanafunzi
plan B ilikuwa nkubaki kusoma tanzania,sababu apa nilipo nipo chuo nasoma program ambayo ni out of my expected programPlan A: Kusoma, Hivyo Nenda kasome
Plan B: Kukacha. Je iwapo uta acha kwenda kusoma Plan B yako ni ipi??? - Ni muhimu ili kupata ushauri yakinifu
KARIBU
Middle East kwa ujumla hapajatulia isipokuwa nchi chache.so ni bora kwenda?mana baadhi ya marafiki walikua wakintisha kw case ya usalama kwmb eti usalama wng utakua mashakani
kwamba mazngira ya kusoma ya iran ni hatarishi kama tu ilivo kwa iraq benny?
nashukuru benny labda kwa Google imaweza saidiasaidia kpata more information about itHapana mkuu simaanishi hivyo
Iran na Iraq kuna vitu vinafanana na kuna tofauti nyingi tu
Binafsi tu psychological mazingira hua hayanivutii
Kweli Medicine ya Iran ni nzuri sana fanya tafiti ya mazingira Google chuo unachoenda tafuta watu waliosoma hapo wakuelezee Pima halafu sikiliza moyo wako tu ukipapenda nenda kasome mambo mengine baadaye!
nashukuru benny labda kwa Google imaweza saidiasaidia kpata more information about it
nashukuru MRIngekuwa mimi ningeenda bila kusita kabsa...na ni kwasbb..moja....tv hiz huwa zinatuaminisha sana vitu ambavyo viko kinyume na hali halisi...ni kweli iran ina mzozo na mataifa makubwa ikiwamo israel lakin maisha ya kawaida ya kijamiii yanaendelea kama kawaida tu. Kikubwa ukienda roma...ishi kama waroma...usiwapelekee mbwembwe...jamaa wako siriaz na taratibu zao...!