Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naombeni msaada Kama kuna uwezekano wa kuroot hii simu yangu Tecno c8 kwa matumizi mengine ikiwemo ifont asanteni
0 Reactions
2 Replies
955 Views
Nina laki 3 naweza pata tablet mpya toka dukani,au simu yenye kioo kikubwa chenye inch kuanzia 6 naomba ushauri wenu kwa wataalamu wa simu humu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitaji mwenye kifaa hiki cha electronics cha ku record na ku play back,,chenye uwezo wa ku record voice zaidi ya voice 4 na kuzi play hizo voice...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Naomba msaada wakuu simu yangu ya Lg haina IMEI nifanyeje, karibuni
0 Reactions
5 Replies
962 Views
Wataalam nisaidieni naweza pata wapi card ya flat screen yangu imepiga shot na haifai. Niko mkoani Njombe namba 0752048709 mwenye uelelewa nitapata wapi na kwa bei gani. Natanguliza shukurani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam wataalam, naomba msaada, nina generator inayotupatia umeme hospitalini kwetu ya 1.2kw kila tukiwasha inawaka vizuri na mshale wa umeme unpanda vizuri hadi 220v lakini tukiruhusu umeme...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
UMHM WA RIBITI KWENYE GARI ANGALIA VIDEO HII JINSI WANAVYOIBA KILA KIFAA CHA KWENYE GARI Niliibiwa side mirror juzi kati nimechoka ndani ya muda mfupi wameshaiba side mirror zote mbili gari aina...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Hello! My problem is that I get «0x800CCC05 NOT CONNECTED TO SERVER» error in Outlook Express. Please suggest me how to stop it.
0 Reactions
2 Replies
952 Views
kwa wale wapenzi wa chanel za mpira na movie sasa unaweza kujipatia decoda hii maarufu kwa sasa.ina uwezo wa kufungua chanel zote zilizofungwa kwa mfumo wa power vu na bisskey.0786705206
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau niko na tecno p5 chaji ilikua inamaliza siku nzma ila sasa inapungua kwa kasi mtu akituma txt inakula 2% tatizo nini?
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Mm sio mpenzi sana wa sport games.... Lakini mpaka leo naipendaga hii Pes 2012... Sijui kwanini.... It's old lakini kwangu ndo fav sport game..... Ila installation yake naona...
0 Reactions
8 Replies
10K Views
leo nimenunu cm mpya kabisaa tatzo liko hapa ina support 3G ila nikienda pale kwenye network mode nichague WCMD NA GSM inagoma nikiweka kwenye WCMD ONLY inagoma ila nikiweka kwenye GSM inakubali...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu mambo vipi? Juzi juzi nilikua nafanya update ya lg g2 ktoka kitkat kwenda android lolipop, nilifanya manualy kwa kutumia lg flash tool nikaflash kdz ya lolipop, ila baada ya flashing...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tukiachana na hali halisi tupo nyuma kwenye huu uwanja wa apps development hapa bongo, bado kuna watz wanajikita kutengeneza apps japo wengi hatuzifahamu , kuna kipindi nilisikia kuna mwanafunzi...
0 Reactions
47 Replies
10K Views
Nina pc yangu dell ndogo imevunjika screen na imevuja kwa ndani naomba msaada na bei yake ya kutengeneza?npo mbezi dsm
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi kwanini Kama mtu akiwa amebanwa na mkojo alafu akawa amekaa kitako Hua mkojo hautaki kutoka ila akisimama mkojo Hua unakua na nguvu na unataka kutoka tofauti na akiwa amekaaa. Swali:Je Kuna...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nilijaribu kumpa fundi mmoja akasema mpaka Sasa hakuna njia kamili ya ku root sony experia z2! Je ni kweli?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau, Mada tajwa hapo juu inajieleza, ninashida na hiyo app hapo juu ila nimejaribu njia mbali mbali kudownload nimeshindwa,tafadhali mwenye uwezo wa kunisaidia kwa namna yeyote ile...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ofa kabambe imerudi tena, Habari wapendwa, Husika na kichwa tanjwa hapo. Natengeneza blog kwa bei nafuu kabisa ya Tsh 30,000/= pia na boresha zile zilizo na muonekano wa kawaida na kuwa na...
0 Reactions
2 Replies
967 Views
habari zenu wana jamii, jamanani nna shida na master video converter na key zake, mwenye nayo naomba anipe iwe ya version yeyote ntachukua
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom